Biblia
(tafsiri ya King James) inaonyesha kuwa neno mwamba limeandikwa mara
142 katika mistari 128! Kwangu hii takwimu ni ya ajabu kwa sababu katika
baadhi ya hii mistari neno mwamba limeonekana zaidi ya mara moja!
Unaposoma Zaburi unagundua kwamba mwimba-zaburi mara nyingi anamtambua Mungu kama Mwamba. Hapa kuna siri ya ajabu sana.
Unapomtambua Mungu kama mwamba wako, unakuwa umemfanya Mungu kuwa kila
kitu kwako. Unamwambia kuwa Yeye ni kila kitu kwako na bila Yeye huwezi
kufanya lolote. Kwa kumwita yeye Mwamba wako, unamwambia:
Wewe ni nyumba yangu
Wewe ni makazi yangu
Wewe ni usalama wangu
Wewe ni tegemeo langu
Wewe ni kimbilio langu
Wewe ni maficho yangu
Wewe ni pumziko langu
Wewe ni muziki wangu
Wewe ni mgahawa wangu
Wewe ni ngome yangu
Wewe ni kinga yangu
Wewe ni nguvu yangu
Wewe ni udongo wangu na kwako nitakita mizizi. Orodha hii ni “Endless”
And he (David) said, The LORD is my rock, my fortress and my deliverer; my God is my rock, in whom I take refuge: my shield, and the horn of my salvation. He is my stronghold, my refuge and my saviour – from violent men you save me (2 Samuel 22:2 – 3, NIV, emphasis mine).
Discover Yahoo!
Have fun online with music videos, cool games, IM & more. Check it out!